Ripoti ya Mchanga wa Dhahabu, Rais Magufuli Amfukuza Kazi Waziri Muhongo, Awatumbua TMAA
Global TV Online
0:00 / 0:00
Ripoti ya Mchanga wa Dhahabu, Rais Magufuli Amfukuza Kazi Waziri Muhongo, Awatumbua TMAA
184 998 просмотров · Трансляция закончилась 9 лет назад
Global TV Online
5,93 млн подписчиков
184 998 просмотров · Трансляция закончилась 9 лет назад
Kamati iliyoundwa kuchunguza Mchanga wa Dhahabu, imemkabidhi Rais Magufuli ripoti yake ambayo inaonesha kumekuwa na ufisadi mkubwa kwenye suala la usafirishaji wa mchanga huo, ambapo kiwango kikubwa cha dhahabu kimekuwa kikitoroshwa kwenye mchanga huo.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Rais Magufuli, pamoja na hatua nyingine, amemtaka waziri wa nishati na madini, Sospeter Muhongo aachie ngazi, pia amemfuta kazi mkurugenzi mtendaji wa TMAA, amevunja bodi ya TMAA na kutaka wafanyakazi wote wa TMAA wachunguzwe na vyombo vya ulinzi na usalama.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Rais Magufuli ameonesha kusikitishwa mno na ripoti hiyo ambayo imebainika kwamba kiwango kikubwa cha madini kinachotoroshwa nje ya nchi.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha vinalinda madini yasitoroshwe na amepiga marufuku usafirishwaji wa mchanga huo nje ya nchi.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1