Перейти к содержимому

Usijaze Duka Bidhaa 100! Bidhaa 10 Hizi Zinakupa 50,000 Kila Siku!

Tan Business Television

0:00 / 0:00

Usijaze Duka Bidhaa 100! Bidhaa 10 Hizi Zinakupa 50,000 Kila Siku!

364 просмотра · 4 дня назад
Tan Business Television
34,3 тыс. подписчиков
364 просмотра · 4 дня назад
Jifunze jinsi ya kuanzisha biashara ndogo kwa mtaji mdogo na kupata faida ya kila siku kwa kuanza na bidhaa chache. Watu wengi hufeli kwa sababu ya kujaza duka bidhaa nyingi bila mpango. Video hii inakuonyesha kwa nini ni salama zaidi kuanza na mtaji mdogo ili ujifunze mambo mengi na kukuza duka lako hatua kwa hatua. Tunachambua bidhaa 10 ambazo zinaweza kukupa faida ya shilingi elfu hamsini kila siku, ikikusaidia kuepuka makosa ya kuanza na mzigo mkubwa usio na tija. Kuelewa faida ya biashara ni muhimu kabla ya kuwekeza fedha zako zote katika biashara ya duka. Tutakuonyesha mbinu za kusimamia duka lako ili liweze kustahimili changamoto za soko na kukua kwa haraka. ⏱️ MUDA 0:00 Intro 0:45 Makundi 3 kwa ufupi 1:30 Chakula 3:30 Usafi 5:30 Nyumbani 7:00 Muhtasari wa mtaji 📩 Naandikie kwenye comments hapo chini ni bidhaa gani utaanza nayo. 👍 Naomba ubonyeze hiyo like button. Inasaidia sana video hii kuwafikia vijana wengine wenye kiu ya mafanikio kama wewe. #TanBusinessTV #DukaLaRejareja #Kujiajiri Kupata eBooks kupitia Selar.com bonyeza LINK https://Selar.com/m/ali-mwambola1 Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz Mitandao yetu ya kijamii: Facebook:   / tanbusiness   Instagram:   / tanbusiness   YouTube:    / alimwambola   #howtostartbusiness #mtajimdogo #alimwambola #BiasharaTZ #faidakubwa #biashara Video muhimu za kuangalia: 1. Biashara Ndogo 5 za Uhakika Wa Kupata Tsh 30,000 Kila Siku! #faida #biasharandogo #mtajimdogo ) 2. Biashara ya Hardware Ya Mtaji Mdogo na Faida Kubwa! #hardware #vifaavyaujenzi #faidakubwa ) Subscribe kwa elimu ya biashara kila wiki, na tuambie kwenye maoni ni changamoto gani unayokutana nayo katika safari yako ya kujiajiri.