Перейти к содержимому

Tazama Jinsi Watu Wanavyopata Pesa Kirahisi Huku HOLLYWOOD Boulevard, USA | Walking Vlog Huku Yues

Jack Banana

0:00 / 0:00

Tazama Jinsi Watu Wanavyopata Pesa Kirahisi Huku HOLLYWOOD Boulevard, USA | Walking Vlog Huku Yues

30 170 просмотров · 3 года назад
Jack Banana
100 тыс. подписчиков
30 170 просмотров · 3 года назад
Nilitembelea mitaa ya Hollywood, California, USA ambayo ni entertainment capital ya Marekani. Hollywood Boulevard ni mtaa unaojulikana kua na vivutio vingi vya watalii kama Hollywood Walk Of Fame, The Hollywood Museum, Madame Tussauds Hollywood, Guinness World Records Museum, TCL Chinese Theatre, Dolby Theatre nk. Hivyo ni sehemu nzuri sana ya kufanyia biashara. Tembea na mimi ujionee jinsi watu wanavyopata pesa kirahisi huku Hollywood, Marekani. Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana! My previous video;    • Hii Ndiyo Mitaa SPECIAL Kwa Watu Maskini M...   🔸FOLLOW ME ON; INSTAGRAM:   / jacchalz   #hukuyues #losangeles #mtaani