BIG SUPRISE: SIMULIZI MPYA, By Ankojay
Ankojay Simulizi
0:00 / 0:00
BIG SUPRISE: SIMULIZI MPYA, By Ankojay
59 763 просмотра · 3 года назад
Ankojay Simulizi
169 тыс. подписчиков
59 763 просмотра · 3 года назад
Mazoea kwa kweli ni ugonjwa pamoja na kuwa na kila kitu katika maisha yangu hakuna nilicho kikosa. Nilikuwa na maisha mazuri watoto wangu wote wana maisha mazuri, lakini tabia zangu mbaya ambazo nilishindwa kuziacha ndizo zilizonifikisha hapa. Nilitamani dunia ipasuke kwani ilikuwa aibu ya mwaka mbele ya watoto wangu.