Перейти к содержимому

Re-upload: Upweke Unauma | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili

Ubongo Kids Kiswahili

0:00 / 0:00

Re-upload: Upweke Unauma | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili

4 505 160 просмотров · 7 лет назад
Ubongo Kids Kiswahili
490 тыс. подписчиков
4 505 160 просмотров · 7 лет назад
Ubongo Kids Webisode 29 - "Upweke Unauma" - the Tanzanian animated cartoon series as seen on TBC1! Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: https://www.ubongokids.com   / ubongokids   Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning! https://www.ubongo.org Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid. #UbongoKids #SwahiliCartoons #Jifunza