Перейти к содержимому

Maalim Seif atangaza msimamo wa jino kwa jino

Weyani Tv

0:00 / 0:00

Maalim Seif atangaza msimamo wa jino kwa jino

40 009 просмотров · 6 л. назад
Weyani Tv
99 тыс. подписчиков
40 009 просмотров · 6 л. назад
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo na ambaye pia ni mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, ametumia mkutano wake wa kampeni kwenye jimbo la Nungwi leo kutangaza rasmi msimamo wa "jino kwa jino" wa chama chake, akisema muda wa kuchezewa umeshakwisha na haurudi tena. Msikilize hapa, kisha nawe weka maoni yako.