Перейти к содержимому

Flier - Tumekasirika (Official Video)

Flier

0:00 / 0:00

Flier - Tumekasirika (Official Video)

38 064 просмотра · 7 мес. назад
Flier
9,05 тыс. подписчиков
38 064 просмотра · 7 мес. назад
Official music video for “Tumekasirika” Written & performed by: Flier Director/DP: Mhando Brian AC: Victoria Ombogo Trinity Operator: Sanch Maina Gaffer: Jonathan Kiilu Grip: Sulay Bizo BTS: theblackjurist Model 1: Rachael Kendi Model 2: Jackie Wamie Makeup Artist: Alphie Akoth Stream / Buy: https://linktr.ee/fliermusic Lyrics: Ni siku ya pili hatujabonga Mzozo wa juzi ulikua noma Jana hatukulala pamoja Ngware narauka umetoka Siezi lie ninaskia nikudungie Lakini pride haiwezi nitakufa Kabla ni ku text ati Aki babe uko wapi? Tumekasirika Kejani hakuna raha kumebadilika Ananung'unika Amani alikataa tumeanza vita Ninachoma picha Majirani wanashanga wakitusikiza Kila siku visa Ni nani alikosa nani ka lipiza Tumekasirika Nimeendelea series bila weh Niko episode ya pili na ma feelings Hata nikiulizwa siwezi sema vile ime end Wacha sote tu pretend And nime order vitu zile unapenda Wanaleta tu masala kwenye salad juu ya nyama Leo tutaona kama hutanena tena Tumekasirika Kejani hakuna raha kumebadilika Ananung'unika Amani alikataa tumeanza vita Ninachoma picha Majirani wanashanga wakitusikiza Kila siku visa Ni nani alikosa nani ka lipiza Tume (Tume) Weka ndeng'a down Umeshinda this round Mpenzi usinyambishe Ukinikang'a nani atakupenda Mbona una drama ka sinema Ata sikumbuki ni kwa nini tuna fight Nilisema kitu fulani huku like Ukachochwa na jirani ati haiwezekani Ata siku gani usikubali haifai Ukafanya vitu nyingi to be mean Nikasema mambo mengi si ku mean Saa hii unabeba masuruali ukiita gari Ati ikupeleke huko nyumbani kwa mummy #Flier #Tumekasirika #kenyanrnb Follow Flier Instagram: @fliermusic TikTok: @fliermusic Twitter: @fliermusic Facebook: @ofallthingsfly