Jinsi ya kukaanga kuku watamu Kwan njia rahisi
Rucky Film's
0:00 / 0:00
Jinsi ya kukaanga kuku watamu Kwan njia rahisi
61 705 просмотров · 1 г. назад
Rucky Film's
7,1 тыс. подписчиков
61 705 просмотров · 1 г. назад
Karibuni tena jikoni kwangu! Leo nawafundisha jinsi ya Kukaanga Kuku watamu wenye ladha nzurii kwa kutumia Mahitaji rahisi ya nyumbani .
MAHITAJI
*Nyama ya kuku
*Chicken masala 1
*Kitunguu saumu kimoja
*Tangawizi Moja kubwa
*Limao au ndimu Moja kubwa
*Chumvi kijiko kimoja kikubwa
*Mafuta ya Kupikia nusu lita
*************
Mimi ni Ruqaiyah Yassin (Mapishi na Rucky) ni Mpishi na Mtengenezaji wa maudhui haya. Video zote unazoziona hapa zimeandaliwa, zikarekodiwa, na kuhaririwa na Mimi mwenyewe katika jiko langu hapa Dar es salaam Tanzania. Lengo langu ni kushiriki mapishi asilia ya Kitanzania na mbinu rahisi za jikoni.
*************
Maudhui haya ni mali ya MAPISHI NA RUCKY Hairuhusiwi kupakua na kurusha tena video hii kwenye channel nyingine bila ruhusa.
Nifollow Kwenye Akaunti Yangu ya TikTok 👇
https://www.tiktok.com/@ruckymontana1...