Перейти к содержимому

MHE. RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAJAJI NA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA

Ikulu Tanzania

0:00 / 0:00

MHE. RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAJAJI NA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA

11 883 просмотра · Трансляция закончилась 4 года назад
Ikulu Tanzania
351 тыс. подписчиков
11 883 просмотра · Трансляция закончилась 4 года назад
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Majaji na Kamishna Jenerali wa Magereza leo tarehe 29 Agosti, 2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Viongozi watakaoapishwa ni: A. Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza, SACP Mzee Ramadhani Nyamka, kuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza B. MAJAJI 1.Mhe.Kevin David Mhina, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 2.Mhe.Gabriel Pascal Malata, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 3.Mhe. Happiness Philemon Ndesamburo, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 4.Mhe. Ruth Betwel Massam, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 5.Mhe.Adrian Philbert Kilimi,Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 6.Mhe.Godfrey Mtemi Isaya Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 7.Mhe.Obadia Festo Bwegoge, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 8.Mhe.Victoria Mlonganile Nongwa, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 9.Mhe.Gladys Nancy Barth, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 10.Mhe. Fatma Rashid Khalfan,Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 11.Mhe. Asina Abdillah Omari, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 12. Mhe.Hamidu Rajabu Mwanga, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 13.Mhe. Merlyn Leonce Komba, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 14. Mhe.Monica Peter Otaru, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 15.Mhe.Kamana Stanley Kamana, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 16.Mhe. Lusungu Hemed Hongoli,Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 17.Suleiman Haji Hassan, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 18.Mhe.Mwajuma Kadilu Juma, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 19.Mhe. Dkt.Cleophace Kassenene, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 20.Mhe. Aisha Zuni Bade, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania 21.Mhe. Musa Kassim Pomo, Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania