Перейти к содержимому

#LIVE SERVICE SEMINA YA VIJANA DAY 03 JUMAPILI TAR 15/02/2026 BY PASTOR GODWIN NDELWA

MAOMBI NI DAWA BY PASTOR GODWIN NDELWA

0:00 / 0:00

#LIVE SERVICE SEMINA YA VIJANA DAY 03 JUMAPILI TAR 15/02/2026 BY PASTOR GODWIN NDELWA

866 просмотров · Трансляция закончилась 7 мес. назад
MAOMBI NI DAWA BY PASTOR GODWIN NDELWA
129 тыс. подписчиков
866 просмотров · Трансляция закончилась 7 мес. назад
KARIBU KATIKA IBADA. The Voice Of Deliverance Church REHOBOTH MAOMBI NI DAWA Kanisa letu lipo Mbezi ya Malamba mawili popote unapotoka panda Magari ya kwenda mbezi kupitia kinyerezi shuka Malamba mawili ukiuliza tu Kanisa la MAOMBI NI DAWA Utakua umefika, Karibu uungane nasi katika Ibada zetu zinazofanyika siku ya Kama ifuatavyo JUMANNE Ni siku maalum ya Mchungaji kumhudumia mtu mmoja mmoja Huduma hii inaanza saa 4 kamili asubuhi na kuisha saa 10 kamili Jioni. JUMATANO Ibada inaanza saa 10 kamili Jioni hadi saa 12 kamili Jioni. IJUMAA Ibada inaanza saa 10 kamili Jioni hadi saa 12 kamili Jioni. JUMAPILI Ibada inaanza saa 3 kamili asubuhi na kuisha saa 7 Na nusu mchana. Kwa Mawasiliano zaidi Wasiliana Nasi kupitia +255 743 913 291 Pia Endapo Unahitaji Kujiunganisha nasi kwa matoleo TOA SADAKA YAKO Kupitia M pesa +255 743 913 291 JINA NI GODWIN NDELWA.