AMBIYA FARAO by TARUMPETA FAMILY Kyeshero (TFK)..(Official Video)
Tarumpeta Family Kyeshero (TFK) SDA Church
0:00 / 0:00
AMBIYA FARAO by TARUMPETA FAMILY Kyeshero (TFK)..(Official Video)
5 968 просмотров · 2 года назад
Tarumpeta Family Kyeshero (TFK) SDA Church
1,18 тыс. подписчиков
5 968 просмотров · 2 года назад
AMBIYA FARAO official
Song Writter: Benissons Ben
Audio producers : Benissons Ben and Kigoma pro.
Recording label: Shiny Record
Solo Guitar: Albert Beatz
Bass Guitar: Steevo
DOP: Prinxen_
Videor Director: Benissons Ben
Editor & Colorist: Prinxen_
TARUMPETAFAMILLY KYESHERO
=============================
Contact us : +243 854791573 (David son)
+243 895832096( Justin kaz)
SONG lyrics
Intro
=============
STANZA I
Safari ya wa israeli ,kutoka Misri kwenda Kanana
ili jawa na mateso mengi wakitazamiya uhuru.
Musa ndiye alikuwa kiongozi wa safari hiyo
Alitayarishwa na Mungu ili kufanikisha safari
Mufalme wa misri kauliza. je mutakwenda na nini?
wake , watoto na mali zetu hivo ndivyo musa kajibiu.
Intro
==========
Farao hakuogopa kufanya moyo wake mugumu
akipingana na mpango Mungu na kusema haiwezekani,
Mwenyezi mungu kajionesha kupitiya
Farao haku sita tena, nakuwaruhusu waondoke
Chorus
==========
Mwambiye farao mimi imeokoka
Sitarudi tena misri mimi naenda kanana...
Mwambiye farao mimi nimeokoka
sitarudi tena misri mimi naenda kanana...
Mwambiye farao mimi nimeokoka
sitarudi tena misri mimi naenda kanana...
Intro
================
STANZA II
Haijalishi ugumu wasafari hii yao
walipotoka ndipo pabaya Misri utumwani
Kumbuka mbele yabahari nyekundu wakinungunika
kwa miujiza yake Mungu kawa fanyiya njiya,
Nasi wakristo wasiku hizi tumewekwa utumwani,
mwa dhambi twatazamiya mbingu tutolewe duniyani ...
Nasi wakristo wasiku hizi tumewekwa utumwani
mwa dhambi twatazamiya mbingu tutolewe duniyani...
Chorus
================
Mwambiye shetani mimi siwa duniya
Sitarudi tena huku natazamiya mbinguni ...
Mwambiye shetani mimi siwa duniya
Sitarudi tena huku natazamiya mbinguni ...
Mwambiye farao mimi nimeokoka
sitarudi tena misri mimi naenda kanana...
Mwambiye farao mimi nimeokoka
sitarudi tena misri mimi naenda kanana...
END
............................
AMEN