MAKAMBI MTAA WA KIRUMBA | UFUNUO: UJUMBE WA IBADA | PR. MUNENE MWANGI | 29.06.2026 | DAY 02-JIONI
MAGOMENI ADVENTIST CHORALE
0:00 / 0:00
MAKAMBI MTAA WA KIRUMBA | UFUNUO: UJUMBE WA IBADA | PR. MUNENE MWANGI | 29.06.2026 | DAY 02-JIONI
32 просмотра · Трансляция закончилась 2 месяца назад
MAGOMENI ADVENTIST CHORALE
1,44 тыс. подписчиков
32 просмотра · Трансляция закончилась 2 месяца назад
Karibu kwenye Mkutano wa Makambi 2026. Mnenaji wa Kambi ni Mch. Munene Mwangi, Mhubiri wa Neno la Mungu mwenye uzoefu wa muda mrefu katika huduma ya Kichungaji na uinjilisti kupitia mahubiri yenye msingi wa Biblia, mafundisho ya unabii, maisha ya Kikristo, familia, afya na maandalizi ya kurudi kwa Kristo, washiriki watapata fursa ya kukua kiroho na kuimarishwa katika imani.
Mch. Munene Mwangi atakuwa akihudumu katika Kambi la Kanisa la Waadventista Wasabato Kirumba,Mwanza, kuanzia tarehe 28 Juni - 04 Julai, 2026. Mikutano hii itajumuisha mahubiri, mafundisho ya Biblia, vipindi vya maombi, nyimbo za injili na ushirika wa waamini.
Tunawakaribisha washiriki wote, familia, vijana na wageni kuhudhuria na kushiriki katika baraka za Neno la Mungu. Njoo ujifunze, uimarike kiroho na upate tumaini jipya kupitia Yesu Kristo.
Kaulimbiu: Nitakwenda Nikimsubiri Yesu
#MuneneMwangi #PrMuneneMwangi #NuruHouseChannel #MahubiriYaBiblia #NenoLaMungu #InjiliYaMilele #YesuAnakuja
#ImaniYaKikristo #MafundishoYaBiblia #Ufunuo #DanieliNaUfunuo
#IsharaZaNyakati #MaandaliziYaKurudiKwaKristo #BibleStudy
#BibleProphecy #ChristianFaith #GospelMessage #JesusSaves
#JesusIsComingSoon #BiblicalTruth #ChristianLiving #FaithAndHope
#HopeInChrist #EndTimeMessage #SDAChurch #SeventhDayAdventist
#Waadventista #SwahiliSermons #AfricanChristianity #EastAfricaForChrist