Перейти к содержимому

MUNGU ANAWEZA YOTE, ILA HAFANYI KILA KITU | DR. MWALUSAMBO

Mwalusambo International Ministry

0:00 / 0:00

MUNGU ANAWEZA YOTE, ILA HAFANYI KILA KITU | DR. MWALUSAMBO

1 021 просмотр · 3 дн. назад
Mwalusambo International Ministry
6,16 тыс. подписчиков
1 021 просмотр · 3 дн. назад
MUNGU ANAWEZA YOTE, ILA HAFANYI KILA KITU | DR. MWALUSAMBO Katika ujumbe huu wenye mafundisho ya kina, Mwl. Dr. Mwalusambo anatufundisha kwamba pamoja na ukuu na uwezo wote wa Mungu, kuna mambo ambayo Mungu amemwachia mwanadamu wajibu wa kuyafanya. Mungu anaweza yote, lakini hatufanyii kila kitu. Tunapaswa kuelewa wajibu wetu, kuchukua hatua, kutumia hekima na kutimiza sehemu yetu katika kusudi la Mungu. Karibu usikilize ujumbe huu, ujifunze na kushiriki na wengine ili waweze kubarikiwa. Mwalusambo International Ministry 📌 Subscribe kwenye channel yetu kwa mafundisho zaidi. 👍 Like, Comment na Share. Kwa Sadaka na Support: 📞 0769 007 328 Jina: Mwalusambo International Ministry #DrMwalusambo #MunguAnawezaYote #MwalusamboInternationalMinistry #SundayService #MafundishoYaNenoLaMungu #ChristianTeaching