Перейти к содержимому

HAKI NA MIPAKA YA MSAIDIZI WA NYUMBANI | WANAWAKE WA NENO|SEASON 2 EPISODE 4

KKKT EBENEZER SHINYANGA (KES TV)

0:00 / 0:00

HAKI NA MIPAKA YA MSAIDIZI WA NYUMBANI | WANAWAKE WA NENO|SEASON 2 EPISODE 4

131 просмотр · 11 дней назад
KKKT EBENEZER SHINYANGA (KES TV)
2,04 тыс. подписчиков
131 просмотр · 11 дней назад
Katika kipindi hiki cha WANAWAKE WA NENO, tunazungumza kuhusu haki, wajibu na mipaka ya msaidizi wa nyumbani katika familia. Je, mwajiri anapaswa kumtendeaje msaidizi wa nyumbani? Msaidizi ana haki zipi? Na mipaka ya majukumu yake ndani ya familia inapaswa kuwa ipi? Tunajadili pia namna ya kujenga mazingira ya heshima, usalama, utu na uwajibikaji kati ya waajiri na wasaidizi wa nyumbani. Tazama kipindi hiki, jifunze na uelimike. Usisahau Like, Comment, Subscribe na Share ili ujumbe huu uwafikie wengine.