Перейти к содержимому

Inasemaje, Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini?

Global TV Online

0:00 / 0:00

Inasemaje, Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini?

4 247 просмотров · 8 лет назад
Global TV Online
5,93 млн подписчиков
4 247 просмотров · 8 лет назад
Inasemaje, Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini? Asilimia kubwa ya waajiri na waajiriwa hawajaifahamu vizuri sheria ya ajira na mahusiano kazini, na ndiyo maana Global TV imeamua kufanya mahojiano maalum na, Wakili Cyprian Mwaimu, ambaye katika video hii anafafanua vizuri na kiundani kuhusiana na sheria hizo. Kwa mujibu wa kifungu cha Sheria ya ajira na mahusiano kazini , kinampa mamlaka muajiri kupanga ni muda gani muafaka muajiriwa wake anaweza kuchukua likizo, na ndani ya miezi sita unatakiwa uwe umechukua likizo, ila endapo kuna utaratibu mwingine haitakiwi kuzidi ndani ya miezi kumi na mbili. Aidha Wakili Mwaimu amesema kuwa Mwajiri ni lazima asajiliwe na mfuko mmoja wapo wa jamii na apewe cheti, kisha ndio asajili wafanyakazi wake. Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe    / uwazi   FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .