Перейти к содержимому

Yanga ilivyoichapa Simba 1-0 mbele ya Rais Magufuli

Azam TV

0:00 / 0:00

Yanga ilivyoichapa Simba 1-0 mbele ya Rais Magufuli

7 086 904 просмотра · 6 лет назад
Azam TV
3,3 млн подписчиков
7 086 904 просмотра · 6 лет назад
Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Bara, Yanga SC wamekataa unyonge kwa kumchapa mpinzani wao wa jadi Simba bao 1-0 kwenye Uwanja wa Taifa, bao pekee likifungwa na Bernard Morrison kutoka Ghana kwa free-kick. Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli alikuwepo uwanjani. #WataniWaJadi #YangaSimba #YangaVsSimba #DarDerby #KariakooDerby #BenMorrison #BernardMorrisonYanga #MorrisonYanga #GoliMorrison # Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM:   / azamtvtz   ►INSTAGRAM:   / azamsports2   ►TWITTER:   / azamtvtz   ►FACEBOOK:   / azamtvtz   ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz