Перейти к содержимому

MUADHINI WA MASJID AL-HARAM AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 51..

Global TV Online

0:00 / 0:00

MUADHINI WA MASJID AL-HARAM AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 51..

5 747 просмотров · 20 часов назад
Global TV Online
5,94 млн подписчиков
5 747 просмотров · 20 часов назад
MUADHINI WA MASJID AL-HARAM AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 51.. Muadhini wa Masjid al-Haram mjini Makkah, Sheikh Ibrahim bin Adel Hamza Al-Madani, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 51. Sheikh Ibrahim alikuwa miongoni mwa waadhini waliokuwa na jukumu la kutoa Adhana katika Masjid al-Haram, eneo ambalo linahudhuriwa na mamilioni ya Waislamu kutoka sehemu mbalimbali duniani kila mwaka. ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com