Перейти к содержимому

Je, Wale Walioshikamana na Asili - Kupitia Qaaidah ya “Asili Katika Vitu ni Uhalali” Huombwa Dalili?

Manhaj Online TV

0:00 / 0:00

Je, Wale Walioshikamana na Asili - Kupitia Qaaidah ya “Asili Katika Vitu ni Uhalali” Huombwa Dalili?

1 510 просмотров · 3 месяца назад
Manhaj Online TV
13 тыс. подписчиков
1 510 просмотров · 3 месяца назад
Katika video hii, kuna uchambuzi wa kina wa kielimu kuhusu majibu kwa Abul Abbas Hassan Seloka juu ya masuala haya ya Taswiir Photography. 00:00 - Utangulizi na Muktadha wa Raddi kwa Abul Abbas Hassan Soloka 01:34 - Madai ya Hassan Soloka: Je, Asili ya Taswiir ni Haramu? 04:07 - Nukta ya 1: Ufafanuzi wa "Asili katika Vitu ni Uhalali" 05:12 - Tofauti kati ya Ibadah na Muamalat/'Adat katika Sheria 06:44 - Je, Taswiir ni Ibadah au ni Muamalat? 07:22 - Kauli ya Sheikh Ibn Uthaymeen kuhusu Mashaka katika Hukumu 10:02 - Ufafanuzi wa Kauli "Hakuna Jitihada mbele ya Nas" 11:43 - Hatari ya Taqlid: Haki ya Maulamaa Wote Kusikilizwa 13:45 - Nukta ya 2: Uchambuzi wa Kauli za Sheikh Fawzan na Sheikh Muqbil 16:48 - Sababu ya Kukatazwa kwa Taswiir 19:10 - Nukta ya 3: Kwa nini Maulamaa wanaojuzisha Taswiir hawaombwi Dalili? 26:00 - Hitimisho 🌍 Fuatilia darsa nyingine kupitia: @ManhajOnlineTV 🔗 Jiunge nasi kwa mitandao ya kijamii: Facebook | Instagram | Telegram | WhatsApp Tafadhali shiriki kwa kueneza mawaidha haya kwa wengine, nawe utakuwa sehemu ya kuisaidia Da’wah kwa njia ya kheri.