Licha ya muonekano wangu najivunia kuwa mwanamke
BBC News Swahili
0:00 / 0:00
Licha ya muonekano wangu najivunia kuwa mwanamke
5 623 просмотра · 2 года назад
BBC News Swahili
1 млн подписчиков
5 623 просмотра · 2 года назад
Loveness Stanley Tarimo 38 anasema anapenda kutambulika kama mwanamke wa kawaida asiye na majivuno.
Anasema muonekano wake haumbadilishi jinsia yake na anajivunia jinsi alivyo.
Mwandishi wa BBC @martha_saranga alizungumza na Loveness kwa urefu kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo muonekano wake.
#bbcswahili #waridiwabbc #wanawake
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili