Перейти к содержимому

Dondoo na Reggae Septemba 26, 2026 Plot #2 LET'S BELIEVE IN HER.

Dondoo na …..

0:00 / 0:00

Dondoo na Reggae Septemba 26, 2026 Plot #2 LET'S BELIEVE IN HER.

8 просмотров · 10 дн. назад
Dondoo na …..
261 подписчик
8 просмотров · 10 дн. назад
LET'S BELIEVE IN HER. Maneno machache yanaweza kuwa na nafasi kubwa sana katika maisha ya binti zetu. tujifunze kuzingatia nguvu iliyo ndani yake na kujua maneno sahihi ya kumtia moyo pindi tunapoona amekosa ujasiri wa kuamini uwezo wake. Kuna wakati ndoto ipo, lakini confidence haipo. Kuna wakati ana uwezo, lakini anaogopa kujaribu. Hapo ndipo sauti ya mzazi, mlezi, mwalimu, ndugu au mtu anayemjali inaweza kuwa muhimu. To all girl child out there, Go for it. We believe in you. #DondooNaReggae #SheisMoreThanADaughter