LIVE: AICT Changanyikeni Ibada ya Kuaga mwili wa marehemu Rev.Dr.Emanuel Falanta
AICT Changanyikeni
0:00 / 0:00
LIVE: AICT Changanyikeni Ibada ya Kuaga mwili wa marehemu Rev.Dr.Emanuel Falanta
2 811 просмотров · Трансляция закончилась 9 дней назад
AICT Changanyikeni
623 подписчика
2 811 просмотров · Трансляция закончилась 9 дней назад
AICT Changanyikeni Ibada ya Kuaga mwili wa marehemu Rev.Dr.Emanuel Falanta
Ibada za jumapili na za mikesha ya Maombi na Neno la Mungu, zinakujia LIVE kupitia YouTube Channel yetu (AICT Changanyikeni Church).
Uliyeko mbali, karibu ku-subscribe na ufuatilie.
lakini pia unaweza kuungana nasi hapa AICT CHANGANYIKENI (UDSM ROAD) kwa Ibado zetu kama ifuatavyo:
Ibada ya Jumapili Saa 3:00 Asubuhi - 6:30 Mchana
Jumanne (Ibada ya Maombi) Saa 11:00 Jioni - 12:00 Jioni
Jumatano (Bible Study) Saa 11:00 Jioni - 12:00 Jioni
Alhamis (Ibada ya Vijana) Saa 11:00 Jioni - 12:00 Jioni
Ijumaa (Ibada ya Wanawake) Saa 11:00 Jioni - 12:00 Jioni