Перейти к содержимому

Diamond Platnumz - Msumari (Lyrics)

The Lyrics Home

0:00 / 0:00

Diamond Platnumz - Msumari (Lyrics)

724 264 просмотра · 1 г. назад
The Lyrics Home
6,72 тыс. подписчиков
724 264 просмотра · 1 г. назад
Diamond Platnumz - Msumari lyrics Stream/Download: (Verse 1) Ni utoto too ila miye Kwako sipinduki Ndio mana usiku Nikinuna Najichekesha asubuhi Ni ujinga too ilana Miye kwako falaaa Njoo mana usipo pokea simu siwezagi lalaaaaa Mmmh Umenifunza utofauti Ya kupenda na kupendana Nakuongea sio sauti hata macho husemi Sana Na mapenzi yanataka imara kuaminiana Na mimi kwako sina shaka eeh we amua utachokifanya Na hivi vinzii via kuzengea wizi, Vikichanga inzi sikunyime amani Lala usingizi upepo wa parizi Miye mambo ya uzinzi yaku vya kazi gani baby (Chorus) Hapo hapo lipo ambao gongeni hapa msumari Oooh penzi letu tuboreshe gosheni hapa msumari likiwezekana party honey gongeni hapa msumari Mvua yachuki isipenyeshwe gongeni hapa msumari mmmmh (Verse 2) Ooohh njiwa enda njiwa njiwa peleka salam (Peleka salam) Naivasha kivure, Mombasa nifike lamu Njiwa enda njiwa, Njiwa peleka salam Ziende mpaka kwa yule alionitesa mwanaharamu Si alisema mimi sitopata wa thamani Asa hii ni nini umuwulize huyu nani Wamebaki kutabari si punde tutachana Wambie sio kwa penzi hili mbona wataroga sana Na hivi viinzi vya Kuzengea wizi Vikichanga inzi sikunyime amani Lala usingizi (wewe) upepo wa parizi Miye mambo ya uzinzi yaku vya kazi gani baby (Chorus) Hapo hapo lipo ambao gongeni hapa msumari Oooh penzi letu tuboreshe gosheni hapa msumari likiwezekana party honey gongeni hapa msumari Mvua yachuki isipenyeshwe gongeni hapa msumari mmmmh Tags: Diamond Platnumz new song Msumari Diamond Diamond Platnumz Msumari Msumari Diamond Platnumz lyrics Diamond Platnumz Msumari lyrics Diamond Platnumz lyrics Msumari lyrics Msumari Diamond lyrics Msumari lyrics by Diamond Platnumz Msumari by Diamond Platnumz #wasafi #DiamondPlatnumz #Msumari #lyrics #music