#LIVE!!! TGNP MTANDAO YAUNGANISHA MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA.
MACHWEO ONLINE TV
0:00 / 0:00
#LIVE!!! TGNP MTANDAO YAUNGANISHA MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA.
66 просмотров · 9 дн. назад
MACHWEO ONLINE TV
705 подписчиков
66 просмотров · 9 дн. назад
TGNP Mtandao imepanua wigo wa huduma zake kwa kuunganisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia na utunzaji wa mazingira. Kupitia miradi mbalimbali, wanawake na vijana wamewezeshwa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, kujenga uchumi na kushiriki katika uongozi.