Перейти к содержимому

#LIVE | IBADA YA JUMAPILI | 13.09.2026

KKKT IMANI TV

0:00 / 0:00

#LIVE | IBADA YA JUMAPILI | 13.09.2026

304 просмотра · Трансляция закончилась 4 дня назад
KKKT IMANI TV
2,34 тыс. подписчиков
304 просмотра · Трансляция закончилась 4 дня назад
#Utatumtakatifu #kkktimanitv #sundayservicelive #Mavuno2026 Nikukaribishe katika ibada ya siku ya leo siku ya Bwana ya 15 baada ya utatu NENO LA WIKI: MUNGU HUJISHUGHULISHA NA MAMBO YETU MASOMO 📖 Zab. 78:35- 40 📖 Lk. 12:4- 7 📖 k ut. 6:1- 9 📖 k ut. 6:1- 9 1. Ikawa siku ya sabato moja alikuwa akipita katika mashamba, wanafunzi wake wakawa wakivunja masuke na kuyala, wakiyapukusa-pukusa mikononi mwao. 2. Basi baadhi ya Mafarisayo wakawaambia, Mbona mnafanya lisilo halali siku ya sabato? 3. Yesu akawajibu akawaambia, Hamkulisoma hata hilo alilolifanya Daudi, alipokuwa na njaa, yeye na wale aliokuwa nao? 4. Jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaitwaa mikate ile ya Wonyesho, akaila akawapa na hao wenziwe, ambayo si halali kuila ila kwa makuhani peke yao. 5. Akawaambia, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato. 6. Ikawa siku ya sabato nyingine aliingia katika sinagogi akafundisha; na mlikuwamo mtu ambaye mkono wake wa kuume umepooza. 7. Na waandishi na Mafarisayo walikuwa wakimvizia, ili waone kwamba ataponya siku ya sabato; kusudi wapate neno la kumshitakia. 8. Lakini yeye akayatambua mawazo yao, akamwambia yule mwenye mkono uliopooza, Ondoka, simama katikati; akaondoka akasimama. 9. Ndipo Yesu akawaambia, Nawauliza ninyi, Je! Ni halali siku ya sabato kutenda mema, au kutenda mabaya; kuponya roho au kuangamiza? ..................................................................... Ungana nasi Kwa Sadaka Yako : CRDB ACC. NAMBA 015C824102800 KKKT IMANI COLLECTION ...................................................................... Tufuatilie Kwenye Mitandao Yetu Ya Kijamii YouTube: KKKT Imani TV Instagram : Imani_Lutheran_Church Facebook: Imani Lutheran Church TikTok: Imani Lutheran Church