Перейти к содержимому

Tanzania 3-1 Kenya | HIghlights | U23 AFCON Qualifiers 06/10/2026

Azam TV

0:00 / 0:00

Tanzania 3-1 Kenya | HIghlights | U23 AFCON Qualifiers 06/10/2026

11 612 просмотров · 3 часа назад
Azam TV
3,32 млн подписчиков
11 612 просмотров · 3 часа назад
Selemani Mwalimu amefunga magoli mawili, kikosi cha Tanzania U23 kikishinda 3-1 dhidi ya Kenya U23, katika mchezo wa marudiano kusaka tiketi ya kufuzu AFCON-U23 mwaka 2027, ukipigwa kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Aliyetangulia kufunga alikuwa ni Shekhan Ibrahim, kabla ya Selemani kufunga mawili, moja likiwa ni la penati.. na Kenya wakipata la kufutia machozi kupitia kwa Andres Odhiambo. Hata hivyo ushindi huo haukutosha kuivusha Tanzania, na ikatupwa nje kwa jumla ya mabao 5-4 kufuatia kichapo cha 4-1 katika mchezo wa mkondo wa kwanza.