Перейти к содержимому

Waziri Bashe atinga shamba la BBT; Afunguka MAZITO

Mwananchi Digital

0:00 / 0:00

Waziri Bashe atinga shamba la BBT; Afunguka MAZITO

3 213 просмотров · 3 года назад
Mwananchi Digital
1,22 млн подписчиков
3 213 просмотров · 3 года назад
Waziri wa Kilimo Hussein ametembelea Shamba BBT Ndogowe lililop[o Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo amesema kuwa Vijana wanaomaliza mafunzo ya BBT mwezi Agosti watakwenda JKT kwaajili ya mafunzo ya uzalendo kabla ya kupelekwa mashambani Waziri Bashe ametoa kauli hiyo leo Alhamisi, Julai 27, 2023 ambapo ameongeza kkuwa mchakato ujao wa kuwapata washiriki wa mafunzo hayo ya BBT Wizara itashirikiana na JKT kwa awamu zopte zinazofuata.