Перейти к содержимому

HATARI ZA KUNASWA KWENYE IBADA YA SANAMU PART 3

Emmanuel Silomba

0:00 / 0:00

HATARI ZA KUNASWA KWENYE IBADA YA SANAMU PART 3

57 просмотров · 2 нед. назад
Emmanuel Silomba
40 подписчиков
57 просмотров · 2 нед. назад
   • HATARI ZA KUNASWA KWENYE IBADA YA SANAMU P...   REV. EMMANUEL BARNABA SILOMBA Kuna Wakristo wenye shauku ya mafanikio kiasi kwamba wapo tayari kulegeza misimamo ya kiimani na kushiriki au kufanya mambo yaliyo kinyume na Imani yao ili wayapate. Kufanya hivyo ni hatari sana. Kumbuka kwamba, lengo letu sio tu kupata mafanikio, bali mafanikio yenye tija katika utekelezaji wa makusudi ya Mungu hapa duniani. Mafanikio ya kweli yana thamani ya milele. Katika somo hili tutajifunza hatari za kunaswa kwenye ibada ya sanamu kupitia 1 Wakorintho 10:14-22. Katika fungu hili la maandiko, Paulo anawaonya Waamini wa Kanisa la Korintho kuikimbia ibada ya sanamu, akiwaonyesha hatari ya dhambi ya kuabudu sanamu. Ukitaka kujifunza zaidi au kupata vitabu vya USTAWI WA MWAMINI wasiliana nasi kupitia Simu/WhatsApp: +255 791 173 627. Waweza kutufuatilia pia kwenye Facebook na Instagram kwa Emmanuel Silomba, na Facebook page kwa Rev. Emmanuel Silomba. Tupo Dar Es Salaam, Temeke, Toangoma.