Перейти к содержимому

Wivu wa Kitai PART 3 Giriama Mijikenda Movies Mbalamwezi Films Pwani

Mbalamwezi Films Official

0:00 / 0:00

Wivu wa Kitai PART 3 Giriama Mijikenda Movies Mbalamwezi Films Pwani

110 050 просмотров · 2 года назад
Mbalamwezi Films Official
7,03 тыс. подписчиков
110 050 просмотров · 2 года назад
Hii ni sehemu ya tatu ya filamu ya kusisimua ya Wivu wa Kitai. Baada ya kuzusha vurugu na pia kushindwa kwenye kesi (part 2) babake Karembo anaendelea kumfuatilia bibi yake. Babake Karembo anaamua kumchunguza bibi yake ili kujua uhusiano wake na Safari. Je uchunguzi wake utafikia wapi Filamu hii ni ya kuchekesha na kufundisha jamii kwamba wivu usio na kiasi na pia kukosa kuaminiana katika ndoa huvunja ndoa familia kwa jumla