Перейти к содержимому

No. 2 | Darsa La Hadeeth | Al-Ar’bauuna An-nawawiyyah

Imam Bukhary Centre

0:00 / 0:00

No. 2 | Darsa La Hadeeth | Al-Ar’bauuna An-nawawiyyah

55 просмотров · 5 дн. назад
Imam Bukhary Centre
494 подписчика
55 просмотров · 5 дн. назад
Huu Ni Mfululizo Wa Darsa Za Hadeeth Kupitia Kitabu Al-Ar’bauuna An-nawawiyyah Kilichoandikwa Na Mwanazuoni Abu Zakariya Yahya Ibnu Sharaf An-nawawiy, Allah Amrehemu. 🎙️Mwalimu: Abu Ayzan Annas Bwaluka. 🔢 Idadi Ya Hadeeth: Katika Video Hii Imesomeshwa Hadeeth Ya Pili Na Ya Tatu. ⏱️Muda: Video Ina Dakika 1:09:10 📚Yaliyomo: 1.⁠ ⁠Daraja Za Dini. Uislamu, Eimani Na Ihsani. 2.⁠ ⁠⁠Nguzo Za Uislamu. 3.⁠ ⁠⁠Nguzo Za Eimaan. 4.⁠ ⁠⁠Nguzo Ya Ihsaan. 5.⁠ ⁠⁠Alama Za Kiyama. 6.⁠ ⁠Maelezo Mafupi Kuhusu Swahaba Mpokezi Wa Hadeeth Ya Tatu. 🤝 Karibu Sana Kusikiliza 🔗 LINK ZA MITANDAO YA KIJAMII: Telegram channel https://t.me/imambukharycentre WhatsApp channel https://whatsapp.com/channel/0029Vb5p... Instagram https://www.instagram.com/bukhary_tz?... X https://x.com/bukhary_tz?s=21 TikTok https://www.tiktok.com/@bukhary_tz?_t...