Fanya Haya Kama Mtoto Anasumbua Kula — Sababu na Suluhisho 🍽️👦
Afya102
0:00 / 0:00
Fanya Haya Kama Mtoto Anasumbua Kula — Sababu na Suluhisho 🍽️👦
1 410 просмотров · 2 месяца назад
Afya102
2,59 тыс. подписчиков
1 410 просмотров · 2 месяца назад
Kama mtoto wako anasumbua kula, anakosa hamu ya kula au anabagua au kukataa vyakula fulani tafadhali fuatilia video hii hatua kwa hatua mpaka mwisho bila shaka utajifunza jinsi ya kuweza kurudisha hamu ya kula kwa mtoto wako. Usisahau kulike, subscribe na kusambaza video hii kwa watu ambao inaweza kuwasaidia. #LisheBora #AfyaBora #ChakulaNiDawa
Dondoo Muhimu Katika Video Hii
00:00 - Utangulizi
00:54 - Kupungua Spidi ya Ukuaji
02:35 - Upungufu wa Damu (Anemia)
04:41 - Njaa Iliyojificha
06:24 - Kuota Meno
07:24 - Irregular Snacking
08:52 - Magonjwa
10:05 - Congenital Heart Defect (CHD)
11:03 - Utaratibu Mbaya wa Ulishaji
12:08 - Msongo wa Mawazo (Stress)
12:51 - Food Neophobia
13:48 - Usingizi wa Kutosha
14:37 - Minyoo
15:15 - Hitimisho, Subscribe, Share and Like