LIVE: MAOMBI YA VITA DHIDI YA ROHO ZIROGAZO BIASHARA | PASTOR SAMUEL MLAY DAY 03
Pastor Samuel Mlay
0:00 / 0:00
LIVE: MAOMBI YA VITA DHIDI YA ROHO ZIROGAZO BIASHARA | PASTOR SAMUEL MLAY DAY 03
12 просмотров · Трансляция закончилась 1 мес. назад
Pastor Samuel Mlay
82 подписчика
12 просмотров · Трансляция закончилась 1 мес. назад
💼 TAARIFA KWA WAFANYABIASHARA, WAMILIKI WA KAMPUNI NA VIONGOZI WOTE! 💼
Je, unakutana na hasara zisizoeleweka, uwekezaji usio na faida, kupoteza wateja mara kwa mara, au udorora kwenye kampuni, shirika (NGO), au huduma yako? Hizi ni kuvuja kwa kiroho kunakohitaji majibu ya kiroho!
Ungana na Pastor Samuel Mlay leo katika SIKU YA 03 ya Maombi na Funga ya Siku 7 tunapovunja kila nguvu inayolenga kazi ya mikono yako.
🔥 SIKU YA 03: Roho Zinazoroga Biashara (Business Bewitchers)
📅 Tarehe: Leo, Septemba 02, 2026
🕔 Muda: Saa 11:00 Jioni (17:00 EAT)
📍 Mahali: Christ Generation Church - Kimara Bucha | Barabara ya Morogoro
📺 Mubashara (Live): YouTube na Facebook @pastorsamuelmlay
📞 Namba ya Maombi: +255 742 813100
Usikubali watazamaji waovu na wala-mali wameze jasho lako. Ni wakati wa kudai ukombozi wako wa kifedha! Sambaza ujumbe huu kwa mfanyabiashara leo. 🙏