Перейти к содержимому

TUNDU LISSU AKOSA TUZO YA SAKHAROV ULAYA - MAHAKAMA YA ICC YAIBUKA KIDEDEA

Global TV Online

0:00 / 0:00

TUNDU LISSU AKOSA TUZO YA SAKHAROV ULAYA - MAHAKAMA YA ICC YAIBUKA KIDEDEA

3 614 просмотров · 4 часа назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
3 614 просмотров · 4 часа назад
TUNDU LISSU AKOSA TUZO YA SAKHAROV ULAYA - MAHAKAMA YA ICC YAIBUKA KIDEDEA Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetangazwa mshindi wa Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo kwa mwaka 2026 inayotolewa na Bunge la Ulaya, kwa kutambua mchango wake katika kutetea haki za binadamu na utawala wa sheria duniani. Kwenye kinyang'anyiro hicho, ICC iliwashinda wagombea wengine waliofika hatua ya mwisho akiwemo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, pamoja na wanaharakati wawili kutoka Iran, Taraneh na Romina Rahimi. Ushindi huu unakuja wakati ICC ikikabiliwa na vikwazo na changamoto mbalimbali za kiutendaji. Tazama ripoti hii kwa kina kuelewa maana ya tuzo hii na historia yake tangu kuanzishwa mwaka 1988. ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com