BOSS WA MOYO ❤️ | EPISODE 8
HULO STUDIOS
0:00 / 0:00
BOSS WA MOYO ❤️ | EPISODE 8
3 825 просмотров · 12 часов назад
HULO STUDIOS
1,27 тыс. подписчиков
3 825 просмотров · 12 часов назад
Mama yake Emanueli anaamua kumfuata Regina kazini ili kuzungumza naye kuhusu ukaribu wake na Emanueli. Emanueli anapogundua kuwa mama yake amemfuata Regina, anamfuata kwa hasira na kumkabili, akisisitiza kuwa masuala yake na Regina ni maisha yake binafsi na hataki mama yake kuyaingilia.
Tazama EPISODE 8 mpaka mwisho.
🎬 BOSS WA MOYO
A Tanzanian Swahili Drama Series
HULO STUDIOS
❤️ LOVE | AMBITION | FAMILY
Subscribe kwenye HULO STUDIOS kwa Episode zinazofuata.
#BossWaMoyo #HuloStudios #SwahiliDrama #TanzanianDrama #SwahiliSeries #BongoMovies #Tanzania #Mapenzi #DramaSeries #Episode8 #BossWaMoyoEpisode8