Перейти к содержимому

MTANDAO WA KIMATAIFA WA GNRC WAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI FURSA ZA VIJANA MTWARA

Faida Online TV

0:00 / 0:00

MTANDAO WA KIMATAIFA WA GNRC WAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI FURSA ZA VIJANA MTWARA

63 просмотра · 1 мес. назад
Faida Online TV
23,8 тыс. подписчиков
63 просмотра · 1 мес. назад
Katika Kuadhimisha Siku ya Vijana Duniani ambayo huadhimishwa Agosti 12 Kila Mwaka, Mtandao wa Kimataifa wa Dini kwa ajili ya Watoto GNRC Tanzania, Wameandaa Mdahalo wa vizazi mbalimbali ili kujadili Fursa za Vijana Kuelekea Maendeleo endelevu. Mdahalo umefanyika katika siku hiyo ya Vijana Agosti 12, 2026 Kwenye Ofisi za Shirika lisilo la kiserikali la TASA zilizopo Kata ya Chuno Manispaa ya Mtwara Mikindani. Mdahalo huo umehusisha kundi la Vijana, Wazee, Wanawake, Watu Wenye Ulemavu na Wadau mbalimbali wa maendeleo, ambapo pia wametoa mapendekezo mbalimbali ikiwemo vijana kuzikimbilia fursa pia kupata taarifa kutoka vyanzo sahihi. SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU