Huu Ndio MUDA MUAFAKA Wa Kupiga PESA YA MPUNGA....Je, ununue MCHELE Au MPUNGA?
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
0:00 / 0:00
Huu Ndio MUDA MUAFAKA Wa Kupiga PESA YA MPUNGA....Je, ununue MCHELE Au MPUNGA?
7 839 просмотров · 2 месяца назад
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
49,6 тыс. подписчиков
7 839 просмотров · 2 месяца назад
Nawezaje kutunza mpunga na mchele bila kuharibika?
Ninunue mpunga au mchele?
Ninunulie mzigo mashambani au ghalani?
Muda gani wa kununua na kuuza mali?
Je, mpunga au mchele unaweza kutunzwa kwa muda gani bila kuharibika?
Mchanganuo hasa wa mapato na matumizi ya biashara hii upoje ili kutoboa?
HAYA MASWALI YOTE YAMEJIBIWA KIKAMILIFU KATIKA KIPINDI HIKI.
Itaendelea.........UJASIRI-wA-MALI
SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE KAMA UMEJIFUNZA KITU.
Uliza maswali zaidi kwenye comments 👇
WhatsApp 0743 812 853 ili kujiunga kwenye mafunzo yangu rasmi kupitia group ya WhatsApp ya Chuo Kikuu Cha Mtaani-Kitivo Cha Misukosuko ambapo nitakuongoza hatua kwa hatua kama mentor wako katika safari yako ya UPWEKE ya UJASIRI-wA-MALI wa biashara ya nafaka.
Ndimi,
AJE-FARMER
Daktari Mkulima
Chuo Kikuu Cha Mtaani-Kitivo Cha Misukosuko
Aje-Farms Mashamba Yanayotembea
#ajefarms #viralvideo #mashambayanayotembea #kilimo #africa #agriculture #biashara #farming #masoko