RC IBUGE ALIVYOMALIZA MGOGORO WA UTAWALA KATA YA LUCHILI WILAYANI NAMTUMBO
KUSINI NEWS
0:00 / 0:00
RC IBUGE ALIVYOMALIZA MGOGORO WA UTAWALA KATA YA LUCHILI WILAYANI NAMTUMBO
285 просмотров · 4 года назад
KUSINI NEWS
27,7 тыс. подписчиков
285 просмотров · 4 года назад
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amefanya mkutano na wananchi wa vijiji vinne vinavyounda kata ya Luchili Wilaya ya Namtumbo na kufanikiwa kumaliza mgogoro wa makao makuu ya utawala wa kata Luchili.