MLANGO WA FURSA, SIRI ILIYOFICHIKA
Hidden Gold Insight
0:00 / 0:00
MLANGO WA FURSA, SIRI ILIYOFICHIKA
129 просмотров · 10 дней назад
Hidden Gold Insight
134 подписчика
129 просмотров · 10 дней назад
Fursa inaweza kubadilisha maisha yako… lakini tabia ndiyo itaamua kama mabadiliko hayo yatadumu.
Baraka anaingia kwenye ulimwengu mpya wa wafanyabiashara, anakutana na watu wenye mafanikio na kupewa nafasi ambayo wengi wangetamani kuipata.
Lakini kuna jambo moja hajui…
Kwa nini Doto amesema, “Baraka bado hajui chochote…”?
Kila mlango unaofunguka hauji bila maamuzi.
#HiddenGoldInsight #SafariYaHiddenGold #Fursa #Maamuzi #Maisha #Vijana #ElimuYaMaisha