Перейти к содержимому

Nasaha 22 kwa masalafiy wote SEHEMU YA 05

MARKAZ AHLU AL HADITHI WA AL ATHAR

0:00 / 0:00

Nasaha 22 kwa masalafiy wote SEHEMU YA 05

5 просмотров · 10 дней назад
MARKAZ AHLU AL HADITHI WA AL ATHAR
402 подписчика
5 просмотров · 10 дней назад
MARKAZ AHLUL AL HADITHI WA AL ATHAR Karibu katika Channel rasmi ya MARKAZ AHLUL AL HADITHI WA AL ATHAR, yenye lengo la kusambaza na kufikisha Elimu ya Dini ya Kiislamu kwa Qur’an na Sunnah kwa ufahamu wa Salafus-Swalih. Katika channel hii utapata: 📖 Tafsiri na mafunzo ya Qur’an 📚 Mafunzo ya Hadithi na Sunnah 🕌 Aqida na Tawhid ⚖️ Fiqhi na masuala ya Sharia 🌿 Maisha na Manhaj ya Salafus-Swalih 🎓 Masomo ya kielimu kutoka kwa wanazuoni na watu wa elimu 🎙️ Darsa, mihadhara na vipindi mbalimbali vya kielimu Lengo letu ni kueneza elimu sahihi ya Kiislamu, kuhimiza kushikamana na Qur’an na Sunnah, na kufikisha elimu kwa watu kwa njia iliyo wazi na yenye manufaa. 🤲 Tunamuomba Allah Atujaalie elimu hii iwe yenye manufaa, na iwe sababu ya kuongoka na kunufaika kwa Waislamu. MARKAZ AHLUL AL HADITHI WA AL ATHAR Qur’an • Sunnah • Fahamu za Salafus-Swalih