Перейти к содержимому

Tunakukaribisha _YGC AMANI

Youth Gospel Choir _Amani

0:00 / 0:00

Tunakukaribisha _YGC AMANI

4 932 просмотра · 1 г. назад
Youth Gospel Choir _Amani
527 подписчиков
4 932 просмотра · 1 г. назад
Yesu anasema, Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. [Mathayo 11:28 ]. Ni wito wa kumkaribia yeye ili akuwezeshe kuonja neema yake na upate pumziko la kweli juu ya masumbufu yote unayoyapitia. Karibu usikilize wimbo huu uliobeba sauti za matumaini kutoka Youth Gospel Choir, KKKT Dayosisi ya Kati, Singida Usharika wa Amani