Jinsi ya Kupost Muziki Wako BURE Kupitia RouteNote | Step by Step (All Platforms 2026)
DJ Makambo Classic
0:00 / 0:00
Jinsi ya Kupost Muziki Wako BURE Kupitia RouteNote | Step by Step (All Platforms 2026)
872 просмотра · 5 месяцев назад
DJ Makambo Classic
6,24 тыс. подписчиков
872 просмотра · 5 месяцев назад
🎧 Karibu kwenye channel yangu!
Katika video hii nitakuonyesha jinsi ya kupost muziki wako BURE kwa kutumia RouteNote na kuusambaza kwenye platform kubwa kama Spotify, Boomplay, Apple Music na nyingine nyingi 🌍🔥
Kama wewe ni msanii unayetaka kufikisha kazi zako duniani bila gharama, basi hii video ni muhimu sana kwako!
👇 Utajifunza:
✔️ Jinsi ya kufungua account RouteNote
✔️ Jinsi ya ku-upload wimbo wako step by step
✔️ Jinsi ya kuweka cover art sahihi
✔️ Jinsi ya kusambaza muziki wako kwenye platforms zote
🔥 USISAHAU:
👍 Like video
💬 Comment kama umeelewa
🔔 Subscribe kwa mafunzo zaidi ya muziki
📲 Kwa maelezo zaidi au msaada:
WhatsApp: 0615712280
#RouteNote #UploadMusic #BongoFlava #NewMusic #Wasanii #MusicDistribution