NILIKUWA NAKUNYWA POMBE… 😮 MUME NDIYE ALINIBADILISHA! | Neema Nzoa PT. 2
ZUNGU GIRL ONLINE TV
0:00 / 0:00
NILIKUWA NAKUNYWA POMBE… 😮 MUME NDIYE ALINIBADILISHA! | Neema Nzoa PT. 2
56 просмотров · 5 дней назад
ZUNGU GIRL ONLINE TV
28 подписчиков
56 просмотров · 5 дней назад
🔥 NILIKUWA NAKUNYWA POMBE… MUME NDIYE ALINIBADILISHA! | PT. 2
Katika Part 2, tunazidi kufuatilia simulizi ya maisha, mabadiliko na safari ya kumtumikia Mungu. 🙏❤️
Anafunguka kuhusu maisha yake ya zamani, changamoto alizopitia, namna alivyobadilika na nafasi kubwa ambayo mume wake alikuwa nayo katika mabadiliko hayo.
👉 “Nipo kwa ajili ya kutumika kwa Mungu.”
👉 “Sijui changamoto yoyote, jamii siielewi mimi najitambua mwenyewe.”
👉 Kutoka kwenye maisha ya kunywa pombe hadi kubadilika na kuamua kumtumikia Mungu.
🎬 Tazama hadi mwisho ujue kilichotokea na kwa nini maisha yake yalibadilika.
👍 LIKE | 💬 COMMENT | 🔔 SUBSCRIBE
📲 SHARE na mtu ambaye anaweza kujifunza au kupata nguvu kupitia simulizi hii.
#Ushuhuda #Mungu #Maisha #Mabadiliko #Christian #HITILAFU #Part2