Перейти к содержимому

Vyama vya Kiarabu vyatishia nafasi ya Netanyahu | UTV Tanzania

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Vyama vya Kiarabu vyatishia nafasi ya Netanyahu | UTV Tanzania

7 461 просмотр · 5 часов назад
UTV Tanzania
187 тыс. подписчиков
7 461 просмотр · 5 часов назад
Vyama vya Kiarabu nchini Israel vinaonekana kuimarisha ushawishi wao katika uchaguzi ulioanza Oktoba 27, 2026, hatua inayoweza kubadili mwelekeo wa siasa nchini humo na kuathiri nafasi ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu. Mchambuzi wa Siasa za Kimataifa, Mbwana Alyamtuu, amesema kuungana kwa vyama hivyo kunaweza kubadili uwiano wa nguvu bungeni na kuongeza changamoto kwa Netanyahu endapo atashinda uchaguzi. Amesema hata akifanikiwa kushinda uchaguzi, huenda akakabiliwa na ugumu wa kuunda serikali imara endapo chama chake kitapata viti vichache bungeni.