#ONK033; Siri 9 Za Kuwajua Wateja Wa Kitanzania.
Ongea Na Kocha
0:00 / 0:00
#ONK033; Siri 9 Za Kuwajua Wateja Wa Kitanzania.
93 просмотра · 12 дней назад
Ongea Na Kocha
126 подписчиков
93 просмотра · 12 дней назад
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#...
2. #Dakika10ZaKocha; https://www.spreaker.com/podcast/daki...
3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
4. #OngeaNaKocha; / @onkocha
5. #KitiChaKocha; https://bit.ly/kitikocha
6. #WashirikaWaMafanikio (Kundi); https://chat.whatsapp.com/DldGMa1wCi7...
Karibu ujifunze na kubadili maisha yako.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.