TWATEMBEA NA YESU-AIC KAMBARAGE CHOIR (Live Music Video)
Aic Kambarage Choir
0:00 / 0:00
TWATEMBEA NA YESU-AIC KAMBARAGE CHOIR (Live Music Video)
14 434 просмотра · 3 месяца назад
Aic Kambarage Choir
7,03 тыс. подписчиков
14 434 просмотра · 3 месяца назад
Twatembea na Yesu ni wimbo uliobeba ukiri wetu sisi watu wake ya kwamba, ni yeye Mungu pekee ndiye wa kutukuzwa na kuabudiwa kwaajili ya matendo makuu aliyoyatenda kwetu. Kwa wimbo huu, tunafanya Agano ya kwamba sisi peke yetu hatuwezi kutembea kuelekea mahali popote pale. Kama vile Musa alivyomwambia Mungu kwamba Usipoenda nasi, basi na usitutoe mahali hapa, nasi tunasema kuwa Twatembea na Yesu siku zote za maisha yetu.
Tunapoendelea kutafakari wema na matendo makuu ya Mungu katika maisha yetu, kamwe tusiache kumrudishia yeye Sifa kwa kuutaja wema huo kama ushuhuda kwa watu wengine.
Na kwakutambua ukuu wa Mungu maishani mwetu, tuungane na AICT Kambarage Choir kuomba uongozi wa Yesu mwenyewe uwe nasi kwa siku zote za maisha yetu.
…Wakorosai 2:6…
Karibuni sana.
SPECIAL THANKS TO
Song Composer: Emmanuel Yegela
Leaders: Agnes, Paul and Diana
Band: AIC Kambarage Choir
MD: Justine Yegela
Aux 1: Peter -Afon Pro
Aux 2: Baraka Ngusa
Bassist: Simon Robert
Drummer: Godwin
PRODUCTION
Audio Overall Production: Victorious Production
Audio Producer: Emmanuel Magile
Video Overall Production: Victorious Production
Video Director: Tuzo
Lights: Peter lights
Sound: Lusekelo
Stage: Michael
CONTACTS
AIC Kambarage Choir
Box 53, Shinyanga -Tanzania
Phone: +255 685788063/+255 757462260
Mail: kambaragechoir@yahoo.com
Social Media
Instagram: aickambaragechoir
Facebook: aickambaragechoir
X/Twitter: aickambaragechoir
Threads: aickambaragechoir
Tiktok: aickambaragechoir
Audiomack: aickambaragechoir
Spotify: aickambaragechoir
Boomplay: aickambaragechoir
All social platforms @aickambaragechoir
#gospeltrends
#twatembeanayesu
#tanzaniagospel
Copyright 2026