Перейти к содержимому

CPA DKT. MSEMWA ASISITIZA MAADILI KUDHIBITI CHANGAMOTO ZA AI ILI KUIMARISHA TAALUMA, AGM - TAA 2026.

Uhasibu TV

0:00 / 0:00

CPA DKT. MSEMWA ASISITIZA MAADILI KUDHIBITI CHANGAMOTO ZA AI ILI KUIMARISHA TAALUMA, AGM - TAA 2026.

141 просмотр · 2 нед. назад
Uhasibu TV
742 подписчика
141 просмотр · 2 нед. назад
Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM) wa Chama Cha Wahasibu Tanzania uliofanyika tarehe17/10/2026 umekamilika kwa mafanikio makubwa! Dkt. Msemwa ameweka msisitizo mkubwa kwenye teknolojia ya Akili Mnemba (AI)na kutoa ushauri. Hii inamaanisha kuwa wahasibu hawapaswi kuogopa kwamba AI itachukua nafasi zao, bali wanatakiwa kuelewa mapungufu yake ili kuyageuza kuwa fursa, Ameongeza kwa kusema kuwa Mifumo ya AI inaweza kuchakata data nyingi kwa sekunde, lakini haina uwezo wa kufanya maamuzi yenye muktadha wa kiwango cha juu wa kimaadili, uzalendo, au kufanya tathmini ya kina ya vihatarishi vya kibiashara na kijamii. Hivyo Wahasibu wanatakiwa kujifunza jinsi ya kuitumia AI kama zana ya kusaidia kazi zao ili wao wabaki na jukumu kuu la kutoa ushauri wa kimkakati wa kifedha katika. @godvictor_lyimo