Miaka 10+ Gizani: Safari Yangu ya Uraibu wa Ponograph | PART 1
Acha Neno Liongee
0:00 / 0:00
Miaka 10+ Gizani: Safari Yangu ya Uraibu wa Ponograph | PART 1
272 просмотра · 4 недели назад
Acha Neno Liongee
4,76 тыс. подписчиков
272 просмотра · 4 недели назад
Kwa zaidi ya miaka 10, nilikuwa kwenye vita ambavyo watu wengi waliokuwa karibu nami hawakuvijua. Kilichoanza kama kitu kidogo, taratibu kikageuka kuwa kifungo. Nilijaribu kuacha. Nikashindwa. Nikajaribu tena. Nikarudi tena. Miaka ikapita.