NAMNA YA KUDIRIKI SALA YA JAMAA
FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
0:00 / 0:00
NAMNA YA KUDIRIKI SALA YA JAMAA
47 просмотров · 5 ч назад
FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
21,1 тыс. подписчиков
47 просмотров · 5 ч назад
Maibadhi tunafanyia kazi fundisho la Mtume S.A.W. katika suala zima la kudiriki sala ya Jamaa.
Amesema Mtume S.A.W.: "Mukienda katika salam muwe watulivu, MUTAKACHOKIWAHI KISALINI, NA KILICHOKUPITENI KITIMIZENI" (RABII, BUKHARI, MUSLIM)
Kwa hiyo:
1. Sisi tunasali kile tulichokiwahi nacho bila shala ni cha mwisho wa Sala ya Jamma hatutafautiani na Imamu wetu.
2. Baada ya Imamu kutoa Salamu tunasimama bila ya Takbira na kutimiza ambacho hatukukiwahi (kilichotupita).
Ni kinyume na Masunni katika hili wao wanaanza sala zao pamoja na Imamu, Imamu akitoa salamu wao huendelea na sala zao kwa kutimiza kilichobakia.
Wabillahi taufiqi