Jolly Bwoy - Mama (Official 4K Video)
OFFICIAL JOLLYBWOY
0:00 / 0:00
Jolly Bwoy - Mama (Official 4K Video)
18 576 просмотров · 8 дн. назад
OFFICIAL JOLLYBWOY
2,43 тыс. подписчиков
18 576 просмотров · 8 дн. назад
Official video for Jolly Bwoy "MAMA"
Find Jolly Bwoy: https://linktr.ee/JollyBwoy
FB: / officialjollybwoy6
Tiktok: / theycallmejollybwoy
Song Credits:
Artist: Jolly Bwoy
Writers: Jolly Bwoy
Producer: Issa Daro (Daro)
Backing Vocals: Genic
Beat By: Marvoni
Mix & Mastering: Issa Daro (Daro)
Music Video Credits:
Producer: MainMan
Video Director: MainMan
LYRICS:
INTRO
(Producer signature)
They Call Me
Jo
Lly
VERSE 1
Geto kilio hakuna baba wakulinda boma
Mama nyumbani majukumu yanamsonga
Majanga
Kila siku napata homu
Kindonda nakichubua sioni ka nitapona
Ivi ni kwli niko macho ama naota
Nimekuwa mpweke hadi upepo nauogopa
Machozi
Maana daily yananitoka
Tope nalioga je yuko wakuniokota
Dua za mama pekee zinanilinda
Maraki feki wanataka kuniumiza
Wanga hawa achwi nyuma wako mbio wananikimbiza
Mungu pekee ndio ukingo wa kunilinda
Nilikata tamaa maana life ilikuwa noma
Siku nzima nilika bila kudona
Yaani kila kukicha mastresi kila kona
Uchawi. ujinga vyote vilinipa woga
Niljiona mkosi nikataka kujinyonga
Nijitoe kafara familia ipate pona
Ila nikajipa moyo nimapoti yatapita tu
Ipo siku yaishaaaa
Mama...
CHORUS
Don worry
Nikipata pesa nitakununulia Ferrari
Uka mbali
Yaani mbali na wanafiki
Mama
Don worry
Nikipata pesa nitakununulia Ferrari
Uka mbali
Yaani mbali na wanafiki
Mmmhh
VERSE 2
Niombe mama
Nipe baraka zako nisije kwama
Safari ya maisha we ndo umeniandalia
Ulinileta huku nije kukusaidia mama
Jukumu langu kuhakikisha unafura
Huzuni yako ndo yanifanya niwe kicha
Moyo unauma macho yanazuba
Najikaza machozi yanatapakaaa
Siku ni moja ndoto yangu itatimia
Nina imani ipo siku nitatulia
Shida zitakimbia furaa itaingia
Ahadi yangu mwenyezi atanitimizia
Nasonga mbele niinue famila mama
Nakaza mwendo nikiamini nitafika
Milango itafunga baraka zitamwagika .
Shida zetu zote zitakwishaaaa
Mamaaah
Usijali mama ,nitakuinua mama
Eeeh
Usilieeeeeh unanifanya niumie x2
Mama
CHORUS
Don worry
Nikipata pesa nitakununulia Ferrari {Mama}
Uka mbali
Yaani mbali na wanafiki
Mama
Don worry
Nikipata pesa nitakununulia Ferrari
Uka mbali
Yaani mbali na wanafiki
OUTRO
Usijali mama ,nitakuinua mama
Usilieeeeeh unanifanya niumie
Mama
Don't worry
Nikipata pesa nikununulia ferrari
Ukae mbali
Yaani mbali na wanafkii
[DMR]
©2026 Dawn Music Record.All rights reserved.