WAITARA AITOLEA UVIVU SHEREHE YA MASHOGA|DAR.#jambofmtz
Jambo FM Radio Tanzania
0:00 / 0:00
WAITARA AITOLEA UVIVU SHEREHE YA MASHOGA|DAR.#jambofmtz
99 609 просмотров · 3 дн. назад
Jambo FM Radio Tanzania
26,4 тыс. подписчиков
99 609 просмотров · 3 дн. назад
ni swali alilohoji Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara, akitaka kufahamu juu ya kile alichosema kusambaa kwa video za sherehe za wasagaji na mambo yanayolandana na hayo ufanyikaji wake ulihusisha kibali kutoka Serikalini.
waitara amehoji kwa msisitizo swali hilo kwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii akiwa Bungeni Jijini Dodoma leo katika Bunge la 13, mkutano wa 5, kikao cha 5, wakati shughuli za kibunge zikiendelea.
Kwa mengi zaidi endelea kufuatilia @jambofmtz katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii na kutusikiliza live https://jambofm.co.tz/.
#jambofmtz #bonfire #news #live #chaguamaishafresh