MWENYEKITI | THE CHAIRMAN EP 10
IRM PRODUCTION PLUS
0:00 / 0:00
MWENYEKITI | THE CHAIRMAN EP 10
6 461 просмотр · 5 дней назад
IRM PRODUCTION PLUS
31,6 тыс. подписчиков
6 461 просмотр · 5 дней назад
#MWENYEKITISERIES #IRMPRODUCTIONPLUS #BONGOMOVIES
Je, madaraka yanaweza kumfanya mtu asahau watu wake?
MWENYEKITI anakutana na majaribu makubwa, fitina za karibu na mapenzi ya siri ndani ya kiti chake!
Kwenye Episode 10 SIRI IMEFUNUKA!
Mke mkubwa wa Mwenyekiti ameanza kuonesha MAKUCHA YAKE HALISI - Yeye ni MWANAMKE MCHAWI! Kila mtu alidhani ni mke mpole kumbe ndiye chanzo cha matatizo yote ndani. Je, wake wenza watanusurikaje mikononi mwake? Na Mwenyekiti atajua lini mke wake ni mchawi anayemloga?
Drama inazidi kuwaka moto!
WAHUSIKA WAKUU: NARABUKU BEY, SENGO MK, KAKOSO, CHIBU, ZUMBA, BUTUA, JASIMINI MAKOPE, KITIMBU, MZIDOLE
IMEELEKEZWA NA: NARABUKU BEY
IMETENGENEZWA NA: IRM PRODUCTION PLUS
USIKOSE EPISODE 9 - MWISHO WA SIRI YA UCHAWI!
KWA BIASHARA / USHIRIKIANO: +255717911335
---
Mwenyekiti episode 10, Mwenyekiti drama, Mwenyekiti IRM, drama mpya ya kiswahili 2026, bongo movie 2026, swahili movie 2026, mke mchawi, mwanamke mchawi, wake wenza, mke wa mkubwa mchawi, uchawi wa wake wenza, mapenzi na fitina, madaraka na uchawi, Narabuku Bey, Sengo MK, IRM Production Plus, The Chairman
#swahilidrama #bongodramampya #kiswahilidrama2026 #dramayamaisha
#MWENYEKITI #TheChairman #DramaMpya2026 #MkeMchawi #BongoMovie2026 #SwahiliDrama #IRMProductionPlus